Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akihutubia mkutanao wa hadhaa katika kijiji cha Lembapuli kilichopo
mpakani mwa wilaya za Kilindi na Kiteto alikokwenda kutatua mgogoro wa
mpaka Januari 18, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akielekea kwenye moja ya jiwe la mpaka wa wilaya ya Kilindi na Kiteto
wakati alipokwenda kwenye kijiji cha Lembapuli kilichopo kwenye mpaka
wa Kiteto na Kilindi kutatua mgogoro wa mpa Januari 18, 2017. Kushoto
kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dkt. Joel Bendera na kulia kwake ni
Mkuu wa wilaya na Tanga na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga Thobias
Mwilapwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)![LIW2](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_txkASM9d-57rKocTYYaOTn4c_j2dXoKIQEsfCsgo9Yk_nYdd8cnjvzvSKe_UaxGKCGub1MywXXaynPdch_ZlLLpTLnc3nFFzYRB2IE-9ujU6T7_SMrHO91BopRhccDhFgcWzoqQA=s0-d)
Baadhi ya wananchi wa wilaya
za Kilindi na Kiteto wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati
alipohutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Lembapuli
kilichopo mpakani mwa wilaya za Kiteto na Kilindi alikokwenda kutatua
mgogoro wa mpaka Januari 18, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) ![LIW6](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_tRFaGK94Gc6evDkbyNJqfbPZaQVIrjUFKYdnp-IAplZSmCRjOSNb6QtSrPAasbFyt-3vNaxH1EuJAUZHZ8otezX0PmbWBQi4a_Yc1CPZ8UL5DUnG3w3FePgxMeCPLo06HMWGkWU84=s0-d)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwapungia wananchi wa Kiteto na Kilindi wakati alipokwenda kwenye
kijiji cha Lembapuli kilichopo kwenye mpaka wa wilaya hizo kutatua
mgogoro wa mpaka Januari 18, 2017. Wapili kushoto ni Mkuu wa mkoa wa
Manyara, Dkt. Joel Bendera na wapili kulia ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa
Tanga na Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Thobias Mwilapwa. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Muu, Kassim Majaliwa
akizugumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William
Lukuvi (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dkt. Joel wakiwa katika
kijiji cha Lembapuli kilichopo kwenye mpaka wa wilaya ya Kiteto na
Kilindi Januari 18, 2017. Mheshimiwa Majaliwa alikwenda Kiteto na
Kilindi kutatua mgogoro wa mpaka unaovikabili vijiji vya Mafisa na
Kijungu. Wapili kushoto ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga na Muu wa Wilaya
ya Tanga mjini , Thobias Mwilapwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipata maelezo kuhusu ramani inayoonyesha mpaka wa wilaya ya Kilindi
na Kiteto katika kijiji cha mpakani cha Lembapuli wakati alipokwenda
kutatua mgogoro wa mpaka kati ya wialya hizo Januari 18, 2017.
Mheshimiwa Majaliwa apia alifuatana na Mawaziri , William Lukuvi wa
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi na George Simbachawene wa Ofisi ya
Rais- TAMISEMI.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Muu, Kassim Majaliwa
akizugumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William
Lukuvi (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dkt. Joel wakiwa katika
kijiji cha Lembapuli kilichopo kwenye mpaka wa wilaya ya Kiteto na
Kilindi Januari 18, 2017. Mheshimiwa Majaliwa alikwenda Kiteto na
Kilindi kutatua mgogoro wa mpaka unaovikabili vijiji vya Mafisa na
Kijungu. Wapili kushoto ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga na Muu wa Wilaya
ya Tanga mjini , Thobias Mwilapwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment