Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka akizungumza na watumishi wa UVCCM Makao Makuu kutathmini utendaji wa jumuiya kwa mwaka 2016 na kupanga mikakati ya mwaka 2017 pamoja na kusikiliza michango mawazo na changamoto mbali mbali zinazowakabili watumishi hao na namna ya kuzitatua ili mwaka 2017 uwe wa mafanikio zaidi.
”Tuongeze bidii ya kazi kila mmoja katika nafasi yake nilazima afahamu na kutambua ya kwamba kila mfanyakazi wa jumuiya katika eneo lake, mchango wake na juhudi za zake zinahitajika sana hasa katika hichi kipindi cha kuleta mageuzi makubwa ya kiutendaji kwa wanachama wetu ”Alisema Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka wa kwanza kushoto akizungumza na watumishi wa UVCC Makao Makuu Upanga Dar es Salaam leo.
:Mkuu wa Utawala UVCCM Ndg:Omary Ng’wanang’walu liposimama kuzungumza katika kikao hicho cha kutathmini utendaji wa jumuiya kwa mwaka 2016 na kupanga mikakati ya mwaka 2017 leo Makao Makuu UVCCM Upanga Dar es Salaam .
Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa,Sera,Utafiti na Mawasiliano Ndg:Mtemi Sylvester Yaredi akizungumzia juu ya Mikakati ya Maswala Mbalimbali katika idara yake katika kikao hicho cha kutathmini utendaji wa jumuiya kwa mwaka 2016 na kupanga mikakati ya mwaka 2017 leo Makao Makuu UVCCM Upanga Dar es Salaam .
Kaimu Mkuu wa Idara ya Uchumi na Fedha Bi:Tumain Mwakasege akizungumzia juu ya Mikakati Mbalimbali katika idara yake katika kikao hicho cha kutathmini utendaji wa jumuiya kwa mwaka 2016 na kupanga mikakati ya mwaka 2017 leo Makao Makuu UVCCM Upanga Dar es Salaam
Mtumishi Wa Makao Makuu UVCCM Ndg:Pamphil James Hwago wa kwanza kushoto akimuelezea Kaimu Katibu Mkuu Shaka wa kwanza kuli juu ya changamoto za maswala mbali mbali yanayowakabili Watumishi Makao Makuu UVCCM Upanga Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment