Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu akiongoza Kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya MapinduzI ya Zanzibar kuhusu masuala ya Muungano kilichofanyika kwenye ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi mjini Zanzibar, Januari 13, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya pamoja ya Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakimsikiliza Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu wakati alipoongoza kikao chao kwenye ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi mjini Zanzibar Januari 13, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:
Post a Comment