baadhi ya wapigapicha wakichukua matukio katika mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipoongea na Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016
Mkurugenzi wa Azam Media Tido Muhando akiuliza swali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokua akiongea na Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016
Mwandishi wa habati wa Shirika la utangazaji BBC Sammy Awami akiuliza swali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokua akiongea na Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016
Mhariri mtendaji wa magazeti ya Serikali (TSN) Dr. Jim Yonazi akiuliza swali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokua akiongea na Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na msanii wa Mrisho Mpoto mara baada ya kuongea na Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na katibu Mkuu Ikulu Peter Iromo na wanahabari wa vyombo mbalimbali baada ya kuongea na Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na katibu Mkuu Ikulu Peter Iromo na wanahabari wa vyombo mbalimbali baada ya kuongea na Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na katibu Mkuu Ikulu Peter Iromo na wanahabari wa vyombo mbalimbali kutoka nje ya Tanzania baada ya kuongea na Wahariri, Watangazaji na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 4,2016
No comments:
Post a Comment