Tuesday, November 15, 2016

NAIBU WAZIRI WAAFYAMAENDELEOYAJAMII,JINSIA,WAZEE NA WATOTODKT. HAMISI KIGWANGALAWA AKABIDHIWA VITANDA 50,MAGODORO 50 NA VYANDARUA 100

 Naibu Waziri wa afya Maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalawa pili kushoto akipokea Masada wavitanda 50 kutoka kwa Mkurugenzi wa kampuni ya Merck ya afrika ya kusini Stefan Maron watatu kushoto kwa ajili ya hospitali na vituo vya afya nchini wakati wa kukabidhiwa Vitanda hivyo,magodoro 50 navyandarua 100.
Naibu Waziri waafyaMaendeleoyajamii,jinsia,wazeenaWatotoDkt. HamisiKigwangalawa pili kushotoakipokea Masada waVyandarua 100 kutoka kwa Mkurugenziwa kampuni ya Merck ya afrika ya kusini Stefan Maron watatu kushoto kwa ajili ya hospitali na vituo vya afya nchini wakati wa kukabidhiwa Vitanda hivyo,magodoro 50 na vitanda 50.

No comments:

Post a Comment