Thursday, August 04, 2016

 Naibu waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina (katikati)alipofanya ziara ya ukaguzi wa mazingira katika kiwanda  cha Mo Enterprises kilichopo kiwalani jijini  Dar es salaam.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa kiwanda hicho ya jinsi gani kiwanda hicho kinavyotiririsha maji machafu kutoka kiwandani hapo.

No comments:

Post a Comment