Thursday, August 18, 2016

BALOZI WA ISRAEL NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI MAKAMBA.

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiongea jambo na Balozi wa Israel Nchini Tanzania Mh. Yahel Vilan alimpomtembelea Waziri Makamba  Ofisini kwake barabara ya Luthuli jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba wakijadiliana jambo na Balozi wa Israel Nchini Tanzania Mh Yahel Vilan alimpomtembelea Waziri Makamba  Ofisini kwake barabara ya Luthuli jijini Dar es Salaam. Wengine ni Maafisa toka Wizara ya mambo ya nje waliongozana na Balozi huyo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akisoma Nakala za machapisho  alizopatiwa na Balozi wa Israel Nchini Tanzania Mh . Yahel Vilan.

No comments:

Post a Comment