Showing posts with label Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi. Show all posts
Showing posts with label Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi. Show all posts

Tuesday, August 02, 2016

JPM AMALIZA MGOGORO WA MAKAZI MAGOMENI KOTA

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akiongea na wakazi wa Magomeni Kota kuhusu kumalizika kwa mgogoro wa makazi leo jijini Dar es Salaam. Kushoto Ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula na Kulia ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Yamungu Kayandabila.

Thursday, June 09, 2016

WAZIRI LUKUVI AZINDUA BARAZA LA ARDHI WILAYA YA KITETO MKOANI MANYARA

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi, William Lukuvi akisalimiana na Mpima ardhi mkuu wa kanda ya kaskazini Nina Rutakyamirwa, alipofika wilayani Kiteto kuzindua Baraza la Ardhi na Nyumba la wilaya hiyo (kushoto) ni mkuu wa Mkoa huo, Dk Joel Bendera.

Saturday, May 21, 2016

HABARI MBALIMBALI ZA WIZARA YA ALDHI KUTOKA BUNGENI DODOMA

ARDHI KUKUSANYA BILIONI 111.77 MWAKA UJAO WA FEDHA.
Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi inatarajia kukusanya shilini bilioni 111.77 kutokana na vyanzo  mbalimbali za shughuli za sekta za ardhi katika mwaka ujao wa fedha.
Kauli hiyo imetolewa leo mjini Dodoma na Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi wakati akiwasilisha bungeni hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka ujao wa fedha.
Alisema kuwa mapato hayo yanatarajiwa kupatikana kutokana upimamaji na ukutoaji hatimiliki za  viwanja na mashamba 400,000 kwa wananchi.

Thursday, April 14, 2016

WAZIRI WA ARDHI MHE WILLIAM LUKUVIAKUTANA NA WAMILIKI WA MABENKI NCHINI.

LUK1Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiwasisitiza Wamiliki wa Mabenki Nchini kuzitambua Hati Miliki za Ardhi za Kimila katika kutoa mikopo kwa Wakulima, wajenzi na Wajasiliamali, kushoto ni Bibi Medelina Kiwayo Meneja Usimamizi wa Taasisi za Fedha-Benki Kuu na Tuse Joune Kaimu Mkurugenzi Mkuu Chama cha Wenye Mabenki Tanzania (TBA).