Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akiongea na wakazi wa Magomeni Kota kuhusu kumalizika kwa mgogoro wa makazi leo jijini Dar es Salaam. Kushoto Ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula na Kulia ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Yamungu Kayandabila.
Showing posts with label Dkt Yamungu kayandabila. Show all posts
Showing posts with label Dkt Yamungu kayandabila. Show all posts
Tuesday, August 02, 2016
Wednesday, June 08, 2016
SERIKALI KUUNDA CHOMBO CHA KUDHIBITI UPANDAJI WA KODI ZA NYUMBA ZA KUPANGA
Na Daudi Manongi-MAELEZO
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Yamungu kayandabila amesema kuwa serikali iko mbioni kuunda chombo cha kudhibiti upandaji wa kodi za nyumba za kupanga.Dkt Kayandabila ameyasema hayo leo hii jijini Dare s Salaam alipokuwa akizungumza katika kipindi cha asubuhi cha Power Breakfast kinachorushwa na Clouds Fm.
“Sisi kama serikali tumesikia kilio cha wapangaji na tuko mbioni kumaliza tatizo hili kwa kuunda chombo kitakachodhibiti upandaji wa kodi hizi za nyumba kiholela,tumeshapokea kesi nyingi sana kutoka kwa wananchi na hivyo tumejipanga kulitatua kabisa tatizo hili”Alisema Dkt Yamungu.
Subscribe to:
Posts (Atom)
