Showing posts with label Katibu Mkuu wa wizara. Show all posts
Showing posts with label Katibu Mkuu wa wizara. Show all posts

Tuesday, August 02, 2016

JPM AMALIZA MGOGORO WA MAKAZI MAGOMENI KOTA

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akiongea na wakazi wa Magomeni Kota kuhusu kumalizika kwa mgogoro wa makazi leo jijini Dar es Salaam. Kushoto Ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula na Kulia ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Yamungu Kayandabila.