Showing posts with label Benki Kuu ya Tanzania (BOT). Show all posts
Showing posts with label Benki Kuu ya Tanzania (BOT). Show all posts

Thursday, April 14, 2016

WAZIRI WA ARDHI MHE WILLIAM LUKUVIAKUTANA NA WAMILIKI WA MABENKI NCHINI.

LUK1Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiwasisitiza Wamiliki wa Mabenki Nchini kuzitambua Hati Miliki za Ardhi za Kimila katika kutoa mikopo kwa Wakulima, wajenzi na Wajasiliamali, kushoto ni Bibi Medelina Kiwayo Meneja Usimamizi wa Taasisi za Fedha-Benki Kuu na Tuse Joune Kaimu Mkurugenzi Mkuu Chama cha Wenye Mabenki Tanzania (TBA).