Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Chuo hicho Profesa Rwekaza Mukandala, Balozi wa China hapa nchini lu you Qing, maafisa wa kampuni ya Kutoka China ya Jiangsu Jiangdu wakiweka mchanga kama ishara ya kuweka jiwe la msingi katika Maktaba Mpya ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam UD mara baada ya kuwasili chuoni hapo. Maktaba hiyo itakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya 2000 kwa wakati mmoja.
Showing posts with label Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Show all posts
Showing posts with label Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Show all posts
Friday, June 03, 2016
Friday, May 20, 2016
MTANZANIA ACHAGULIWA KUWA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA MASHAURIANO YA MASUALA YA KISHERIA KATIKA NCHI ZA ASIA NA AFRIKA (AALCO)
Profesa Kennedy Gastorn, Katibu Mkuu mpya AALCO
Mkurugenzi wa masuala ya Kimataifa katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Kennedy Gastorn amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Mashauriano ya Masuala ya Kisheria katika nchi za Asia na Afrika-‘Asian-African Legal Consultative Organisation-AALCO’.
Subscribe to:
Posts (Atom)

