Showing posts with label ametoka Mkoani Dodoma. Show all posts
Showing posts with label ametoka Mkoani Dodoma. Show all posts

Friday, May 06, 2016

RAIS MAGUFULI AWAONYA WALIOFICHA SUKARI,ATISHIA KUICHUKUA SUKARI HIYO NA KUIGAWA BURE KWA WANANCHI


Rais Dkt.John Pombe  Magufuli amewaonya aalioficha Sukari na kutishia  Kuichukua Sukari hiyo na Kuigawa Bure Kwa Wananchi.Rais Magufuli ametoa onyo kali kwa wafanyabiashara walioficha sukari ili baadae waiuze kwa bei  ya juu.