Showing posts with label Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma. Show all posts
Showing posts with label Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma. Show all posts
Wednesday, July 20, 2016
Thursday, May 05, 2016
MWINYI,MKAPA,MALECELA WAKUTANA KWA DHARURA KUMJADILI JUU YA KUKABIDHI MADARAKA KWA MAGUFULI
Hali si shwari ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutokana na mchakato unaoendelea wa kumkabidhi Rais Dk. John Magufuli uenyekiti wa chama hicho, kukumbwa na sintofahamu.
Monday, May 02, 2016
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DKT. ALI MOHAMED SHEIN AAPISHWA KUWA MJUMBE WA BARAZA LA MAWAZIRI:
Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman akimuapisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri ili aweze kushiriki na kutekeleza majukumu yake kwenye Baraza hilo huku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia tukio hilo katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma.
Subscribe to:
Posts (Atom)



