Naibu
Meya akizindua mradi mkubwa wa kisima cha maji katika jimbo la ukonga
kata ya pugu mtaa wa bombani na kigogo B ,Mradi huo wa maji umegharimu
kiashi cha fedha Milioni 67.610.000 kama sehemu za juhudi za
Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kwa kushirikiana na Wananchi pamoja na
mfuko wa Jimbo
Naibu
Meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto akifungua bomba la Maji
kuashiria kuwa Maji yanaanza kutumika katika eneo la Pugu Kajiungeni
Naibu
Meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto akimtwisha ndoo ya Maji
mmoja wa wakazi wa Pugu mara baada ya Maji ya kisima kilichochimbwa na
Halmashauri ya Manispaa ya Ilala.
Naibu
Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto akizungumza na wakazi wa
Jimbo la ukonga kata ya Pugu mtaa wa bombani Kigogo B.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala ,Omary Kumbilamoto akishuka bondeni kuangalia chanzo cha maji katika eneo la Pugu
No comments:
Post a Comment