Naibu
Meya akizindua mradi mkubwa wa kisima cha maji katika jimbo la ukonga
kata ya pugu mtaa wa bombani na kigogo B ,Mradi huo wa maji umegharimu
kiashi cha fedha Milioni 67.610.000 kama sehemu za juhudi za
Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kwa kushirikiana na Wananchi pamoja na
mfuko wa Jimbo