Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na Balozi wa Sweden nchini Mhe. Katarina Rangnitt,ofisini
kwake Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha kwa Hisani ya Ofisi ya Makamu
wa Rais).
Picha ya pamoja
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na Balozi wa Comoro hapa nchini Mhe. Dkt. Ahamada El
Badaoui, ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja
No comments:
Post a Comment