Wednesday, April 19, 2017

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Bungeni leo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Mawaziri kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma, Aprili 19, 2017. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Tekinolojia na Mafunzo ya Ufundi Mhandisi Stella Manyanya, Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangalla. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangalla kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mbunge wa Rufiji, Mohamed  Mchengerwa kwenye jengo la utawala la bunge mjini Dodoma Aprili 19, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment