Askofu John Rwezaura akifungua Kusanyiko la Pasaka liloandaliwa na Wapo redio FM.
kutoka kulia ni mke wa askofu Gamanywa Alhappynes akiwa katika kusanyiko la Pasaka
Askofu John Rwewzaaura Akiwa na mchungaji Bernad Jomalema katika kusanyiko la Pasaka katika viwanja vya wapo radio
Umati wa watu waliofika katika viwanja vya WAPO RADIO kwenye kusanyiko la pasaka
Mwandishi na mtangazaji wa WAPO RADIO FM Winnifrida Munisi Akiandaa habari za kusanyiko la PAsaka
Baadhi ya waimbaji wakiimba katika kusanyiko la Pasaka
No comments:
Post a Comment