neema Jakonia Chavala akiwa na mwimbaji ELifaz Belgano Bukuku Maarufu kama Supa Bukuku.
Mwimbaji Miriam lukindo Mauki akihudumu katika kusanyiko la Pasaka liloandaliwa na WAPO RADIO FM.
Mwimbaji Emanuel Mgaya maarufu kama (Masanja mkandamizaji) akiwa na mwimbaji Magida Timotheo.
Mwinjilisti wa viwango George Banali akiwa na Emanuel Mgaya katika viiwanja vya wapo radio
Askofu Slyverster Gamanywa akiwa na Emanuel Mgaya mara baada ya Msanda kuwasili katika viwanja wa wapo Radio
Emanue Mgaya akihuduma jukwaani
Mke wa Askofu Gamanywa wa pili kutokana Kushoto akiwa na wakinamama wenzake wa BCIC
Waumini na watu mbalimbali waliofika katika viwanja vya wapo Redio kwenye kusanyiko la pasaka
Emanuel Mganya wa kwanza kushoto na wa pili Costantino Pius Na silas Mbise
Emanuel Mgaya akiimba na Silas Mbise jukwaani.
Mwimbaji Emanuel Mgaya akiwa na askofu John Rwezaura.
Mwinjilisti wa kimataifa Georgi Banali maarufu kama GB akitoa neno la utangulizi katika kusanyiko la Pasaka liloandaliwa na WAPO Radio
Watu mbalimbali na waumini waliofurika katika viwanja vya wapo Radio
Waimbaji na watangazaji wa wapo radio wakiwa katika viwanja vya wapo radio.
watangazaji wa wapo radio wakiwa wanatafakari kwa kina juu ya kusanyiko la pasaka
No comments:
Post a Comment