Friday, November 25, 2016

PUMA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA DUNIANI KWA KUTUMIA NDEGE 22 ZA ZAMANI:

 Meneja wa Kampuni ya Puma Energy Tanzania, Philippe Corsaletti akiwaonesha wanahabari  (hawapo pichani) Dar es Salaam leo, moja ya picha ya ndege  22 za zamani zitakazotua nchini Novemba 28, mwaka huu, kwa mashindano ya 'Vintage Air Rally' yenye lengo la kutangaza utalii. Ndege hizo zilitengenezwa kati ya mwaka 1920 na 1930.Kushoto ni  Mkuu wa Idara ya Mafuta ya Ndege wa kampuni hiyo, Raymond Tungaraza.

BENKI YA AMANA YAZINDUA HUDUMA YA MIKOPO MIDOGO MIDOGO KWA WAFANYA BIASHARA MBAGALA JIJINI DAR ES SALAAM.


Diwani wa Kata ya kibonde Maji mbagala Jijini Dar es salaam Mh Abdala  Mtimika (Kushoto) Pamoja na Mkurugenzi wa Bank ya Amana nchini Dr Mosen Masoud wakikata utepe Kuashiria kuzinduliwa Rasmi kwa Huduma ya mikopo Midogo Midogo kwa wafanya biashara wa Mbagala Jijini Dar es salaam.uzinduzi huo umefanyika katika Tawi la Amana Mbagala.

Monday, November 21, 2016

OBAMA AMESEMA SITANYAMAZA WAKATI WA UTAWALA WA TRUMP.

Bw Obama na Bw Trump walikutana White House siku mbili baada ya uchaguzi Nov. 10, 2016.

Image copyright
Image captionBw Obama na Bw Trump walikutana White House siku mbili baada ya uchaguzi
Rais wa Marekani anayeondoka Barack Obama amesema huenda akazungumza, kinyume na utamaduni wa siasa Marekani, iwapo mrithi wake Donald Trump atatishia "maadili muhimu" ya Marekani.

Friday, November 18, 2016


Mkazi wa Area C mjini hapa, Boniface Kigomba amekamatwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma akiwa katika harakati za kuwaonyesha wagonjwa kliniki ya wajawazito. 

Tukio hilo kusababisha wagonjwa, madaktari na wauguzi kukusanyika katika ofisi ya Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo kumshuhudia.