Showing posts with label Mkurugenzi wa Bank ya Amana Dr Mosen Masoud. Show all posts
Showing posts with label Mkurugenzi wa Bank ya Amana Dr Mosen Masoud. Show all posts

Friday, November 25, 2016

BENKI YA AMANA YAZINDUA HUDUMA YA MIKOPO MIDOGO MIDOGO KWA WAFANYA BIASHARA MBAGALA JIJINI DAR ES SALAAM.


Diwani wa Kata ya kibonde Maji mbagala Jijini Dar es salaam Mh Abdala  Mtimika (Kushoto) Pamoja na Mkurugenzi wa Bank ya Amana nchini Dr Mosen Masoud wakikata utepe Kuashiria kuzinduliwa Rasmi kwa Huduma ya mikopo Midogo Midogo kwa wafanya biashara wa Mbagala Jijini Dar es salaam.uzinduzi huo umefanyika katika Tawi la Amana Mbagala.