Showing posts with label Makamu Mkuu wa Udom. Show all posts
Showing posts with label Makamu Mkuu wa Udom. Show all posts

Friday, November 18, 2016


Mkazi wa Area C mjini hapa, Boniface Kigomba amekamatwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma akiwa katika harakati za kuwaonyesha wagonjwa kliniki ya wajawazito. 

Tukio hilo kusababisha wagonjwa, madaktari na wauguzi kukusanyika katika ofisi ya Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo kumshuhudia.