Showing posts with label Rais mteule wa Marekani Bwana Donald Trump. Show all posts
Showing posts with label Rais mteule wa Marekani Bwana Donald Trump. Show all posts

Monday, November 21, 2016

OBAMA AMESEMA SITANYAMAZA WAKATI WA UTAWALA WA TRUMP.

Bw Obama na Bw Trump walikutana White House siku mbili baada ya uchaguzi Nov. 10, 2016.

Image copyright
Image captionBw Obama na Bw Trump walikutana White House siku mbili baada ya uchaguzi
Rais wa Marekani anayeondoka Barack Obama amesema huenda akazungumza, kinyume na utamaduni wa siasa Marekani, iwapo mrithi wake Donald Trump atatishia "maadili muhimu" ya Marekani.