
Mkazi wa Area C mjini
hapa, Boniface Kigomba amekamatwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma
akiwa katika harakati za kuwaonyesha wagonjwa kliniki ya wajawazito.
Tukio hilo kusababisha wagonjwa, madaktari na wauguzi kukusanyika katika ofisi ya
Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo kumshuhudia.