Showing posts with label Loveness Hoyange na Mkuu wa Idara ya Mafuta ya Ndege wa kampuni hiyo. Show all posts
Showing posts with label Loveness Hoyange na Mkuu wa Idara ya Mafuta ya Ndege wa kampuni hiyo. Show all posts

Friday, November 25, 2016

PUMA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA DUNIANI KWA KUTUMIA NDEGE 22 ZA ZAMANI:

 Meneja wa Kampuni ya Puma Energy Tanzania, Philippe Corsaletti akiwaonesha wanahabari  (hawapo pichani) Dar es Salaam leo, moja ya picha ya ndege  22 za zamani zitakazotua nchini Novemba 28, mwaka huu, kwa mashindano ya 'Vintage Air Rally' yenye lengo la kutangaza utalii. Ndege hizo zilitengenezwa kati ya mwaka 1920 na 1930.Kushoto ni  Mkuu wa Idara ya Mafuta ya Ndege wa kampuni hiyo, Raymond Tungaraza.