Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais- Utumishi, Bw.Mick Kiliba ( wa tatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Wataalam wa Kujitolea kutoka nchini Japan waliomaliza muda wao wa kutoa huduma nchini baada ya hafla fupi ya kuwaaga iliyofanyika ofisini kwake . Wengine ni watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi na wawakilishi kutoka JICA.
Thursday, June 23, 2016
UTUMISHI YAWAAGA WATAALAMU 7 WA KUJITOLEA KUTOKA JAPANI WALIOMALIZA MUDA WA KUTOA HUDUMA NCHINI
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais- Utumishi, Bw.Mick Kiliba ( wa tatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Wataalam wa Kujitolea kutoka nchini Japan waliomaliza muda wao wa kutoa huduma nchini baada ya hafla fupi ya kuwaaga iliyofanyika ofisini kwake . Wengine ni watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi na wawakilishi kutoka JICA.
MAKUMBUSHO NA NYUMBA YA UTAMADUNI DSM KUFANYA KAZI NA WASANII NCHINI.
Mkurugenzi wa Makumbusho na Nyumba ya
Utamaduni Dar es Salaam Bw Achiles Bufure, akifafanua jambo kwenye Mkututano na
wasanii wa Kimataifa wa Ngoma za Ubunifu na Muziki, awapo pichani.
Wednesday, June 22, 2016
RAIS MAGUFULI AZINDUA SARAFU YA KUMBUKUMBU YA SHILINGUI ELFU HAMSINI JIJINI DAR ES SALAAM:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na katibu Mkuu Wizara ya fedha na Mipango Dkt Servacius Likwelile alipowasili kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam Juni 22, 2016
ASKOFU GWAJIMA AENDELEA KUSAKWA
Siku moja baada ya wakili wa Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, Peter Kibatala kuwaandikia barua Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamanda Simon Sirro amesema hawafanyi kazi kwa kufuata barua ya askofu huyo.
Sirro alithibitisha kupata barua hiyo, lakini akasema kuwa wanaendelea kumtafuta popote pale alipo na wakifahamu watamtia nguvuni.
MKUTANO WA USHIRIKIANO WA VYOMBO VYA HABARI KATI YA NCHI ZA AFRIKA NA CHINA UNAOFANYIKA MJINI BEIJING NCHINI CHINA
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akieleza jinsi Tanzania ilivyofanikiwa kuhama kutoka mfumo wa urushaji wa matangazo ya Televisheni kutoka Analogia kwenda Digitali katika mkutano wa tatu wa ushirikiano wa vyombo vya Habari kati ya nchi za Afrika na China unaofanyika Beijing nchini China.
Subscribe to:
Posts (Atom)

