Showing posts with label Mkurugenzi mtendaji wa Wakala wa Majengo nchini(TBA). Show all posts
Showing posts with label Mkurugenzi mtendaji wa Wakala wa Majengo nchini(TBA). Show all posts

Thursday, June 23, 2016

WAFANYAKAZI WA TBA WAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KWA KUFANYA USAFI

 Mkurugenzi mtendaji wa Wakala wa Majengo nchini(TBA), Elius Mwakalinga akishiriki shughul ya kufanya usafi pamoja na wafanyakazi wa Taasisi hiyo wakati wa maadhimisho ya kilele cha Wiki ya utumishi wa Umma  jijini Dar es salaam.