Wednesday, June 22, 2016

WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA OFISINI HAZINA

 Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa Wizara ya Fedha na Mipango,  Bw. Gideon Manambo akiongea na watumishi wa wizara. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw.  Doto James.

Lowassa Asaidia Watoto Yatima Dar es Salaam

Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa amewataka Watanzania kujali makundi ya watu wenye mahitaji maalumu hususan katika kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

 Kauli hiyo aliitoa jana alipotembelea vituo vya watoto yatima jijini Dar es Salaam vinavyoendeshwa na Waislamu kwa lengo la kuwajenga watoto kiimani. Lengo la ziara yake ni kushiriki nao katika utekelezaji wa nguzo ya mfungo wa Ramadhan.

SEHEMU YA HOTUBA YA MAKAMU WA RAIS KATIKA UFUNGUZI WA MAFUNZO YA WANAWAKE WAJASIRIAMALI

KITWANGA AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA......ASEMA YALIYOTOKEA ANAMWACHIA MUNGU, WIKI IJAYO KUTUA BUNGENI KWA KISHINDO


ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, amesema yupo imara na amerejea nchini akiwa na matumaini mapya.

Pamoja na hali hiyo, amesema kuwa hivi sasa anajipanga kufanya kazi usiku na mchana kuhakikisha anaisaidia nchi pamoja na wapigakura wake na kuwa na maendeleo ya kweli na Jumatano ya Julai 29, ataripoti bungeni.

WAZIRI WA AFYA , MAENDELEO YA JAMII , JINSIA, WAZEE NA WATOTO ATEMBELEA VIJIJI VILIVYOKUMBWA NA MLIPUKO WA UGONJWA USIOJULIKANA WILAYANI KONDOA.

Mbunge wa Kondoa,Juma Nkamia akizungumza wakati wa ziara hiyo.

Tuesday, June 21, 2016

BUNGE LA 11 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA LIMEPITISHA BAJETI YA TRILIONI 29.5 YA MWAKA WA FEDHA 2016/17.

Mawaziri  na Wabunge wakimpongeza  Waziri wa Fedha  na Mipango Dkt. Philip Mpango  pamoja na Naibu Waziri wake Dkt. Ashatu Kijaju mara baada ya kupitishwa kwa bajeti Kuu ya Serikali ya Trilioni 29.5 kwa mwaka wa fedha 2016/17  Bungeni mjini Dodoma.

NAPE ASEMA KUWA NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KUNA MAJIPU:


Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema ndani ya chama hicho tawala kuna majipu mengi yanayohitaji kutumbuliwa. 

Kwa mujibu wa katibu huyo wa uenezi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi, hatua hiyo ndiyo njia pekee ya kuleta mapinduzi na mageuzi ndani ya chama hicho.