Showing posts with label Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Show all posts
Showing posts with label Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Show all posts

Friday, January 13, 2017

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MWIGULU NCHEMBA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA KIKOSI MAALUM CHA MAGEREZA JIJINI DAR,

GUL1

GUL1
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mwigulu Nchemba(Mb)  akipokea Salaam ya heshima kutoka Gwaride Maalum la heshima lililoandaliwa na askari wahitimu wa Mafunzo Maalum ya Kikosi Maalum cha Jeshi la Magereza Kozi Namba 11. Hafla ya hiyo imefanyika leo Januari 13, 2017 katika Viwanja vya Kikosi Maalum cha Kutuliza Ghasia Magerezani kilichopo Ukonga, Jijini Dar es Salaam(kushoto) ni Kaimu Kamishna Jenerali wa Jeshi hilo Dkt. Juma Malewa .

Wednesday, August 24, 2016

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akisikiliza maelezo kutoka kwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Kamishna Simon Sirro, wakati walipokuwa eneo la tukio.

Wednesday, June 22, 2016

KITWANGA AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA......ASEMA YALIYOTOKEA ANAMWACHIA MUNGU, WIKI IJAYO KUTUA BUNGENI KWA KISHINDO


ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, amesema yupo imara na amerejea nchini akiwa na matumaini mapya.

Pamoja na hali hiyo, amesema kuwa hivi sasa anajipanga kufanya kazi usiku na mchana kuhakikisha anaisaidia nchi pamoja na wapigakura wake na kuwa na maendeleo ya kweli na Jumatano ya Julai 29, ataripoti bungeni.