Showing posts with label Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM. Show all posts
Showing posts with label Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM. Show all posts

Tuesday, June 21, 2016

NAPE ASEMA KUWA NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KUNA MAJIPU:


Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema ndani ya chama hicho tawala kuna majipu mengi yanayohitaji kutumbuliwa. 

Kwa mujibu wa katibu huyo wa uenezi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi, hatua hiyo ndiyo njia pekee ya kuleta mapinduzi na mageuzi ndani ya chama hicho.