Showing posts with label Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango. Show all posts
Showing posts with label Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango. Show all posts

Tuesday, June 21, 2016

BUNGE LA 11 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA LIMEPITISHA BAJETI YA TRILIONI 29.5 YA MWAKA WA FEDHA 2016/17.

Mawaziri  na Wabunge wakimpongeza  Waziri wa Fedha  na Mipango Dkt. Philip Mpango  pamoja na Naibu Waziri wake Dkt. Ashatu Kijaju mara baada ya kupitishwa kwa bajeti Kuu ya Serikali ya Trilioni 29.5 kwa mwaka wa fedha 2016/17  Bungeni mjini Dodoma.