Showing posts with label Spika wa Bunge. Show all posts
Showing posts with label Spika wa Bunge. Show all posts

Monday, November 14, 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA MAREHEMU SAMWEL JOHN SITTA,URAMBO MKOANI TABORA


Mjane wa Marehemu Spika Mstaafu, Margareth Sitta, Mama Mzazi wa marehemu, na watoto wa marehemu wakigusa jeneza na kushuhudia wakati mwili wa marehemu Samuel Sitta ulipoteremshwa kaburini katika mazishi yaliyofanyika urambo, Tabora.

Tuesday, June 14, 2016

NAIBU SPIKA TULIA ACKSON AKOMAA NA KITI CHA SPIKA KWA SIKU 10


Tangu wabunge wa upinzani waanze kususa vikao vinavyoongozwa na Naibu Spika, Dk Tulia Ackson, kiongozi huyo wa Bunge ameamua ‘kukomaa’ na kiti hicho, hatua inayosababisha wapinzani wasipate fursa ya kutia mguu bungeni.

Wednesday, April 20, 2016

WABUNGE WAKIAPA AMBAO HAWAJAAPA KATIKA KIKAO KILICHO PITA BUNGENI MJINI DODOMA.

Spika wa Bunge, Job Ndugai akiongozwa na Mpambe wa Bunge kuingia kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma kuongoza kikao cha kwanza cha mkutano wa tatu wa Bunge Aprili 19, 2016.