Showing posts with label Mama Mary Majaliwa. Show all posts
Showing posts with label Mama Mary Majaliwa. Show all posts

Monday, November 14, 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA MAREHEMU SAMWEL JOHN SITTA,URAMBO MKOANI TABORA


Mjane wa Marehemu Spika Mstaafu, Margareth Sitta, Mama Mzazi wa marehemu, na watoto wa marehemu wakigusa jeneza na kushuhudia wakati mwili wa marehemu Samuel Sitta ulipoteremshwa kaburini katika mazishi yaliyofanyika urambo, Tabora.

Thursday, June 16, 2016

VIDEO YA KIPINDI MAALUM CHA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AALIPOFUTURISHA IKULU JIJINI DSM 14 JUNE 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasihi Watanzania wote kuungana na Waislamu walio katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan kuiombea Tanzania iendelee kuwa nchi ya Amani, Utulivu, Umoja na Mshikamano ili iweze kutimiza malengo yake ya kimaendeleo na kuimarisha ustawi wa jamii.

Thursday, June 02, 2016

MAMA JANETH MAGUFULI AWASILI MIKOA YA LINDI NA MTWARA KWA AJILI YA ZIARA YA KIKAZI.

 Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli alipofika mkoani Lindi kwa ajili ya Ziara ya kikazi.Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bw. Godfrey Zambi na Kulia ni Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Mary Majaliwa.

Saturday, March 26, 2016

RAIS MAGUFULI AHUDHURIA IBADA YA IJUMAA KUU JIJINI DAR ES SALAAM AKIONGOZANA NA MKE WAKE MAMA JANETH:

 Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Petro Stephano Kaombwe akiongoza Ibada ya Ijumaa kuu katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam  Ijumaa April 25, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa wakiwa na waumini wengine katika Ibada ya Ijumaa kuu katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam Ijumaa April 25, 2016
 Msalaba ukipelekwa altereni kuanza ibada ambayo imehudhuriwa pia na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa wakiwa katika Ibada ya Ijumaa kuu katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam  Ijumaa April 25, 2016