Showing posts with label Serikali ya Tanzania. Show all posts
Showing posts with label Serikali ya Tanzania. Show all posts

Friday, January 22, 2016

SERIKALI IMNEJIKITA KUTOA ELIMU YA UZALISHAJI NA MATUMIZI ENDELEVU YA RASLIMALI.

  Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mipango Miji kutoka Wizara ya Ardhi,|Nyumba na Maendeleo ya Makazi George Pangawe akizungumza na Waandishi wa Habari (Hawapo Pichani) kuhusu wananchi kuzingatia sheria na kanuni za mipango miji nchini pale wanapotaka kuendeleza ardhi kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Elimu ya Mazingira kutoka Baraza la Taifa la Mazingira Carlos Mbuta na kulia ni Mkuu wa Idara ya Mipango Miji, Ardhi na Mazingira Manispaa ya Kinondoni Bi. Juliana Letara
  Mkuu wa Kitengo cha Elimu ya Mazingira kutoka Baraza la Taifa la Mazingira Carlos Mbuta akizungumza na Waandishi wa Habari (Hawapo Pichani) kuhusu elimu ya uzalishaji na matumizi endelevu ya rasilimali ili waweze kunufaika na rasilimali hizi ambapo elimu hiyo imeingizwa katika mitaala ya elimu hapa nchini kulia ni Msaidizi Idara ya Mipango Miji kutoka Wizara ya Ardhi,|Nyumba na Maendeleo ya Makazi George Pangawe.

Sunday, January 17, 2016

GAZETI LA MAWIO LAFUNGUWA MOJA KWA MOJA NA SERIKALI.

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (mwenye suti ya kijivu anayenyoosha mkono) akiwaeleza Waandishi wa Habari (hawapo pichani) juu ya Uamuzi wa Serikali wa kulifuta Gazeti la MAWIO katika Daftari la Msajili wa Magazeti mara alipokutana na waandishi hao 17 Januari 2016 katika Ukumbi wa Idara ya Habari uliopo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Bw. Assah Mwambene, wa pili kulia ni Mkurugenzi Msaidizi anayeshughulikia usajili wa Magazeti, Bw. Raphael Hokororo na anayemfuatia ni Mwanasheria wa Wizara Bw. Patrick Kipangula

Friday, January 15, 2016

SERIKALI IMEWATAKA WAWEKEZAJI WA TANZANIA KUUNGANA NA WAWEKEZAJI WA KIMATAIFA KUINUA WIGO NA KUJENGA UZOEFU

Na, Anaseli Stanley.
Serikali imewataka wawekezaji wa Tanzania waungane na wawekezaji wa mataifa mbalimbali kwa lengo la kupata uzoefu na kufanya kazi nyingi za serikali hapa nchini ili makampuni ya Tanzania yawe na uwezo wa kutenda kazi kubwa na kuongeza kipato kwa taifa. 

Hayo yameelezwa mbele ya waandishi wa habari jijin dar es Salaam wakati akifungua mkutano wa wakandarasi wa japani na watanzania wazziri mkuu MH.Kasim Majaliwa amesema kuungana huku kutsaidia kubadilishana mawazo na kujadili namna mbalimbali za uendeshaji wa makampuni ya ndanina kuongeza ushindani na mataifa mengine.