Showing posts with label Askofu Valentino Mokiwa. Show all posts
Showing posts with label Askofu Valentino Mokiwa. Show all posts

Thursday, June 16, 2016

VIDEO YA KIPINDI MAALUM CHA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AALIPOFUTURISHA IKULU JIJINI DSM 14 JUNE 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasihi Watanzania wote kuungana na Waislamu walio katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan kuiombea Tanzania iendelee kuwa nchi ya Amani, Utulivu, Umoja na Mshikamano ili iweze kutimiza malengo yake ya kimaendeleo na kuimarisha ustawi wa jamii.