Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza katika Mkutano wa Mwaka wa Wachumi na Maafisa Mipango unaofanyika katika ukumbi wa Hazina mjini Dodoma. Alifungua mkutano huo kwa niaba ya Waziri wa Fedha na Mipango Mge. Dkt. Philip Mpango. Kaulimbiu ya Mkutano ni Kuelekea kwenye Utekelezaji wa Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka Mitano.
Showing posts with label Katibu mkuu. Show all posts
Showing posts with label Katibu mkuu. Show all posts
Saturday, June 25, 2016
Thursday, June 09, 2016
VIONGOZI WA CHADEMA AKIWEMO MWENYEKITI WAZUILIWA KUINGIA OFISINI SHINYANGA
Viongozi na makada wa Chadema waliokuwa wakisafiri kutoka Kahama kuelekea jijini Mwanza wamejikuta wakishindwa kuingia kwenye ofisi za chama hicho mjini Shinyanga kutia saini kitabu cha wageni baada ya Jeshi la Polisi kuzuia shughuli yoyote ya chama hicho mjini humo.
Monday, January 11, 2016
KWA MUJIBU WA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA WANANCHI CUF MAALIM SEIF HAMAD AMESEMA KURUDIWA UCHAGUZI ZANZIBAR ITASABABISHA MACHAFUKO VISIWANI HUMO.
Aliyekuwa mgombea urais Zanzibar na Katibu Mkuu wa Chama cha
Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa kutokana na mgogoro
wa kisiasa unaoendelea visiwani humo usipopatiwa ufumbuzi mara moja na
kulazimisha kuwa uchaguzi huo urudiwe nidhahiri kuwa hatua hiyo inalazimisha
kuwepo kwa hali ya machafuko visiwani humo.
Subscribe to:
Posts (Atom)

