Showing posts with label Machafuko.. Show all posts
Showing posts with label Machafuko.. Show all posts

Monday, January 11, 2016

KWA MUJIBU WA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA WANANCHI CUF MAALIM SEIF HAMAD AMESEMA KURUDIWA UCHAGUZI ZANZIBAR ITASABABISHA MACHAFUKO VISIWANI HUMO.

Aliyekuwa mgombea urais Zanzibar na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa kutokana na mgogoro wa kisiasa unaoendelea visiwani humo usipopatiwa ufumbuzi mara moja na kulazimisha kuwa uchaguzi huo urudiwe nidhahiri kuwa hatua hiyo inalazimisha kuwepo kwa hali ya machafuko visiwani humo.