Showing posts with label Dk Vicent Mashinji na wabunge Godbless Lema. Show all posts
Showing posts with label Dk Vicent Mashinji na wabunge Godbless Lema. Show all posts

Thursday, June 09, 2016

VIONGOZI WA CHADEMA AKIWEMO MWENYEKITI WAZUILIWA KUINGIA OFISINI SHINYANGA

Viongozi na makada wa Chadema waliokuwa wakisafiri kutoka Kahama kuelekea jijini Mwanza  wamejikuta wakishindwa kuingia kwenye ofisi za chama hicho mjini Shinyanga kutia saini kitabu cha wageni baada ya Jeshi la Polisi kuzuia shughuli yoyote ya chama hicho mjini humo.