Thursday, December 01, 2016

BALOZI WA KOREA KUSINI AENDESHA MHADHARA CHUO CHA BANDARI

Balozi wa Korea Kusini hapa nchini, Mhe. Song Geum-young (kushoto) akijadili jambo na Mkuu wa Chuo cha Bandari, Dk. Joseph Kakeneno wakati wa mhadhara wake na wanachuo cha Bandari hivi karibuni.

Mkuu wa Chuo cha Bandari, Dk. Joseph Kakeneno akimkaribisha Balozi wa Korea Kusini hapa nchini, Mhe. Song Geum-young kutoa mhadhara wake kwa Wanachuo.
Balozi wa Korea Kusini hapa nchini, Mhe. Song Geum-young akitoa mhadhara kwa wanachuo. Kulia ni Mkuu wa Chuo cha Bandari, Dk. Joseph Kakeneno.
Baadhi ya Wanachuo cha Bandari wakifuatilia mhadhara uliokuwa ukitolewa na  Balozi wa Korea Kusini.Baadhi ya Menejimenti ya Chuo cha Bandari ikifuatilia mada iliyokuwa ikitolewa na Balozi wa Korea Kusini. 
Mkuu wa Chuo cha Bandari, Dk. Joseph Kakeneno akimkabidhi zawadi Balozi wa Korea Kusini hapa nchini, Mhe. Song Geum-young mara baada ya kutoa mhadhara kwa wanachuo.

No comments:

Post a Comment