Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam
Mh.Paulo Makonda leo amezungumza na waandishi wa habari kwa awamu ya
pili akitaja orodha ya jumla ya watuhumiwa 65 ambao wanafanya biashara
ya madawa ya kulevya huku List hiyo amewataja baadhi ya watu maarufu
hapa nchini akiwemo Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Yusuf Manji,
Showing posts with label Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda. Show all posts
Showing posts with label Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda. Show all posts
Wednesday, February 08, 2017
MAAMUZI YA YUSUF MANJI BAADA MAKONDA KUMTAJA KUHUSU KUJIHUSISHA NA MADAWA YA KULEVYA
Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji kesho amepanga kwenda kuripoti Kituo Kikuu cha Polisi cha jijini Dar es Salaam maarufu kama “Centre” kesho badala ya keshokutwa .
Manji ameyasema hayo hivi punde saa chache tangu Mkuu wa Mkoa wa Polisi wa Dar es Salaam , Paul Makonda kutangaza majina 65 ya wanaitakiwa kufika kwenye kituo cha hicho kikubwa cha Polisi ili kusaidia vita ya kupambana na madawa ya kulevya kama sehemu ya wanaotumihumiwa au la.
Friday, December 23, 2016
MKUU WA WILAYA YA UBUNGO ALAKIAPO LEO JIJINI DAR ES ESALAAM,
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akimwapicha Mkuu wa Wilaya ya Ubungo,Kisari Matiku Makori kufuatia uteuzi uliofanywa na Rais Magufuli kwa Wakuu wa Wilaya hivi karibuni. Leo jijini Dar es Salaam.Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.
Subscribe to:
Posts (Atom)