Showing posts with label Mwenyekiti wa Yanga. Show all posts
Showing posts with label Mwenyekiti wa Yanga. Show all posts

Wednesday, February 08, 2017

MAAMUZI YA YUSUF MANJI BAADA MAKONDA KUMTAJA KUHUSU KUJIHUSISHA NA MADAWA YA KULEVYA

maji+yanga.
Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji kesho amepanga kwenda kuripoti Kituo Kikuu cha Polisi cha jijini Dar es Salaam maarufu kama “Centre” kesho badala ya keshokutwa .
Manji ameyasema hayo hivi punde saa chache tangu Mkuu wa Mkoa wa Polisi wa Dar es Salaam , Paul Makonda kutangaza majina 65 ya wanaitakiwa kufika kwenye kituo cha hicho kikubwa cha Polisi ili kusaidia vita ya kupambana na madawa ya kulevya kama sehemu ya wanaotumihumiwa au la.