Showing posts with label Mchungaji Gwajima. Show all posts
Showing posts with label Mchungaji Gwajima. Show all posts

Wednesday, February 08, 2017

MAJINA YA 65 YA WANAOJIHUSISHA DAWA ZA KULEVYA YAMETANGAZWA NA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, PAUL MAKONDA MAKONDA ATAJA WATUHUMIWA WENGINE 65 WA DAWA ZA KULEVYA. WAMO FREEMAN MBOWE, MCHUNGAJI GWAJIMA, YUSUF MANJI, IDD AZZAN.

PAULO
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh.Paulo Makonda leo amezungumza na waandishi wa habari kwa awamu ya pili akitaja orodha ya jumla ya watuhumiwa 65 ambao wanafanya biashara ya madawa ya kulevya huku List hiyo amewataja baadhi ya watu maarufu hapa nchini akiwemo Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Yusuf Manji,