Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji kesho amepanga kwenda kuripoti Kituo Kikuu cha Polisi cha jijini Dar es Salaam maarufu kama “Centre” kesho badala ya keshokutwa .
Manji ameyasema hayo hivi punde saa chache tangu Mkuu wa Mkoa wa Polisi wa Dar es Salaam , Paul Makonda kutangaza majina 65 ya wanaitakiwa kufika kwenye kituo cha hicho kikubwa cha Polisi ili kusaidia vita ya kupambana na madawa ya kulevya kama sehemu ya wanaotumihumiwa au la.