Showing posts with label wadau sekta ya mazingira(WWF). Show all posts
Showing posts with label wadau sekta ya mazingira(WWF). Show all posts

Wednesday, May 18, 2016

WADAU WA MAZINGIRA WAANDAA TAMASHA LA MAZINGIRA LITAKALOMHUSISHA RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE NA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI.

Rais mstaafu wa awamu ya nne Daktari Jakaya Mrisho Kikwete.
Na. Lilian Lundo – Maelezo.
Watanzania  wameombwa kutoa  maoni kuhusu njia zipi  zitumike kutunza mazingira na kukomesha uvuvi haramu wilayani  Temeke katika tamasha  la mazingira litakalofanyika Mei 27, 2016 kwenye fukwe za Sunrise – Kigamboni.