Showing posts with label ujenzi wa barabara ya Arusha - Holili - Taveta - Voi. Show all posts
Showing posts with label ujenzi wa barabara ya Arusha - Holili - Taveta - Voi. Show all posts
Sunday, February 28, 2016
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AWASILI MKOANI ARUSHA KUONGOZA MKUTANO WA 17 WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Daudi Felix
Ntibenda mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Kilimanjaro (KIA) tayari kuongoza mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa nchi
zaJumuiya ya Afrika Mashariki
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli akilakiwa na Mwenyekiti mpya wa CCM Mkoa wa Arusha Mhe.
Lekule Laizer.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Dkt.
Augustine Mahiga
Subscribe to:
Posts (Atom)


