Showing posts with label Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu. Show all posts
Showing posts with label Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu. Show all posts

Friday, October 07, 2016

WAZIRI UMMY ATOA MISAADA KWA WAATHIRIKA WA TETEMEKO MKOANI KAGERA.

c1
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu akitoa taarifa kwa Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu kuhusu hatua iliyofikiwa na serikali katika kurejesha hali baada ya tetemeko lilitokea mkoani humo ambapo pia alimshukukuru Waziri Ummy kwa Misaada aliyoitoa wakati wanakabiliana na maafa ikiwemo, Madawa, Vifaa tiba na madktari iliyowezesha kusaidia kwa kiasi kikubwa waathirika wa tetemeko.

Wednesday, October 05, 2016

SERIKALI KUBORESHA MIUNDOMBINU YA MAJI ILIYOHARIBIWA NA TETEMEKO LA ARDHI.

rwe1
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu (kulia) akimkaribisha Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge (kulia) alipomtembelea ofisini kwake leo mjini Bukoba kujionea uharibifu wa miundombinu ya sekta ya maji iliyosathiriwa na tetemeko la ardhi.