Showing posts with label Mkurugenzi Mkazi wa shirika la UN women Tanzania Maria Karadenizli. Show all posts
Showing posts with label Mkurugenzi Mkazi wa shirika la UN women Tanzania Maria Karadenizli. Show all posts

Wednesday, March 08, 2017

MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KATIKA MKOANI SINGIDA

Waziri wa afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, wazee na watoto Ummy Mwalimu akikata utepe kuzindua kituo na kiwanda cha kuongeza thamani mazao ya nafaka cha Ititi kinachomilikiwa na vikundi vya akina mama VICOBA wa wilaya ya Singida, kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Rehema Nchimbi na kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkazi wa shirika la UN women Tanzania Maria Karadenizli.