Showing posts with label Mhe. Antony Mavunde. Show all posts
Showing posts with label Mhe. Antony Mavunde. Show all posts

Monday, July 11, 2016

MHE. MAVUNDE AWAASA VIJANA KUACHA KULALAMIKIA AJIRA WAKATI UWEZO WA KUJIAJIRI WANAO

 Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Vijana, Kazi na Ajira, Antony Mavunde Jumamosi hii amekuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la kujadili changamoto za ajira nchini lililoandaliwa na kipindi cha Campus Vibes cha Times FM na kuwahusisha wanachuo wa vyuo vya elimu ya juu mbalimbali nchini.

Tuesday, May 10, 2016

MBUNGE WA DODOMA MJINI NA NAIBU WAZIRI WA KAZI, VIJANA NA AJIRA, MHE. ANTONY MAVUNDE ATEMBELEA KAMBI TIBA YA GSM DODOMA

Mbunge wa Dodoma Mjini na Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde  amefanya ziara ya kushtukiza katika kambi tiba ya GSM Foundation inayofanywa na kikosi cha Madaktari bingwa kutoka hospitali ya MOI, ambayo kuanzia  imepiga kambi Dodoma baada ya kutoka katika mikoa ya Mwanza, Singida, na Shinyanga.