Showing posts with label Kigoma. Show all posts
Showing posts with label Kigoma. Show all posts

Thursday, February 23, 2017

ZIARA YA MKURUGENZI WA NAMAINGO KUIMARISHA UJASIRIAMALI MIKOANI

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Namaingo Business Agency, Ubwa Ibrahim akiwa katika moja ya ,ya mikoa kukagua na kuimarisha shughuli za Wajasiriamali wanachama wa kampuni hiyo katika mikoa mbalimbali nchini. Tayari hadi ameshafanya ziara katika mikoa ya Iringa, Tabora, Kigoma, Manyara, Arusha na Kilimanjaro.

Monday, June 06, 2016

RAIA WA KIGENI 4792 WAKAMATWA KWA KUKIUKA SHERIA ZA UHAMIAJI.

 Kaimu Kamishna Utawala na Fedha kutoka Jeshi la Uhamiaji Bw. Abbas Irovya wa pili kutoka kushoto akiongea na wanahabari hawapo pichani kuhusu ripoti ya operesheni mbalimbali zinazoendelea kufanyika nchini kwa lengo la kudhibiti wahamiaji haramu,wa kwanza kulia ni Mkaguzi wa Uhamiaji Bw. Leslie James Mbotta na wa kwanza kulia ni Mrakibu Msaidizi wa Jeshi hilo Bi. Rosemary Mkandala.(Picha na Benjamin Sawe- Maelezo).